Babu Owino na Jaguar wavutana mashati bungeni

Mbunge wa Embakasi Mashariki Paul Ongili almaarufu kama Babu Owino na mbunge wa Starehe Charles Njagua almaarufu kama Jaguar hii leo wamemenyana katika makao ya bunge baada ya ugomvi kuzuka baina yao. Kulingana na walioshuhudia kisa hicho kilichoanzia katika jumba la wanahabari bungeni wawili hao walikuwa wakizozania kuhusiana na swala la kumheshimu Rais Uhuru Kenyatta.

Tags:

Uhuru kenyatta raila odinga parliament Babu Owino Jaguar

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories