Babu wa miaka 98 amuoa bibi wa miaka 88

Sherehe ilinoga katika kanisa la Baptist eneo la Solai kaunti ya Nakuru baada ya wakongwe wawili kuamua kufunga pingu za maisha. Wakongwe hao Willy Kinyua mwenye umri wa miaka 98, na Joyce Nyambura, mwenye umri wa miaka 88 wamekuwa wakiishi pamoja kwa miaka 60.

Tags:

Solai Baptist Church Nakuru Joyce Nyambura Willy Kinyua

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories