Barabara Iliyokuwa Imefungwa Yafunguliwa

Watu zaidi ya 600 wamekwama katika  eneo la Kainuk kaunti ya Turkana baada ya barabara ya kutoka Kitale kuelekea Lodwar kufungwa na raia wa wa Kainuk.walifunga barabara hiyo kutokana na hasira waliyokuwa nayo baada ya tukio la mauaji kutukia. Akina mama na watoto ni miongoni mwa watu waliokwama hapo kuanzia siku ya Ijumaa.Anavyotuarifu Victor Wetende ni kuwa mkutano wa kurejesha hali ya kawaida katika barabara hiyo ulitibuliwa na washambulizi kutoka kwa jamii moja waliojihami kwa bunduki,kukazuka ubadilishanaji wa risasi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories