Baraza la Magavana lasema halina pesa

Siku moja baada ya rais kenyatta kuagiza kuwa madaktari walipwe mishahara ya miezi mitatu ambapo hawakuwa kazini, magavana sasa wanasema kuwa hawana pingamizi na agizo hilo, ila tu hawana pesa za kuwalipa. Mwenyekiti wa baraza la magavana peter munya anasema kuwa pesa zilizokuwa zimetengewa kuwalipa madaktari zimeshatumika na itabidi serikali kuu kuwapa shilingi bilioni tatu za kufanya hivyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories