Baraza la Magavana lawaandikia barua madaktari

Baraza la magavana limetumia kaunti zote barua za nidhamu zinazotarajiwa kupokezwa madaktari waeleze ni kwanini hawakurejea kazini baada ya makataa ya leo kukamilika.

 

Haya yanajiri huku muungano wa madaktari ukishikilia kuwa umearifu wanachama wake wasipokee barua hizo kwani ni mbinu ya serikali kujaribu kuwatisha wasitishe mgomo huo.

 

Haya yanajiri huku matabibu hao wakitarajiwa kufika mahakamani hiyo kesho kuamliwa kwa kesi dhidi yao.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories