Baraza La Wajumbe Wa ODM Laidhinishwa

Chama cha ODM huenda kisiifanyie mabadiliko yoyote orodha ya maafisa waliopendekezwa majuma mawili yaliyopita, na kuonekana kuibua mtafaruku mpya. Kamati kuu iliyoorodheshwa kukiongoza chama cha Chungwa na kuziba nyufa chamani imeanza kuchapa kazi, huku ikitarajia kuidhinishwa na baraza kuu la chama katika kikao cha ijumaa wiki hii. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories