Barua ya Citizen Nipashe kwa Rais Uhuru Kenyatta

Swala la ufisadi limeonekana kuwa donda sugu humu nchini na kila kukicha huwa jipya linatokea,na kuibua maswali mengi kuhusiana na vita hivi dhidi ya ufisadi. Je, mbona viongozi wameonekana kujitia hamnazo wakati ambapo mambo yote yako parwanja? Meza ya Nipashe imemuandikia Rais Uhuru Kenyatta barua iwapo utayatilia maanani itakuwa vyema na endapo utasusia basi hio itakuwa hiari yako.

Tags:

Lulu Hassan Citizen Nipashe Rais Uhuru Kenyatta ufisadi barua

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories