Belio Kipsang awapata walimu wakifunza masomo ya ziada

Walimu kumi na mbili wametiwa mbaroni katika kaunti ya Kisumu baada ya kupatikana wakifunza masomo ya ziada kinyume na sheria. Walimu hao walipatikana na katibu wa elimu belio Kipsang alipokuwa akizuru shule za kaunti hiyo kuangalia junsi mtihani wa kidati cha nne unaendelea.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories