Ben gethi ajitetea kuhusu fedha za NYS

Mfanyabiashara Ben Gethi anadai kuwa hakuna uchunguzi mwafaka uliofanywa kumhusisha na sakata ya idara ya huduma kwa vijana NYS. Kulingana na Gethi , mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko, alitunga tu uchunguzi na kumhusisha na sakata hiyo. Gethi alikuwa akijitetea mbele ya kamati ya bunge kuhusu masuala ya fedha inayochunguza kashfa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories