Benki zatwaa magari ya wadeni


Benki za humu nchini zinaendelea na mipango ya kutwaa mali ya wateja wao hususan wale wanaoshindwa kulipa madeni ya mikopo waliochukuwa. Ni jambo ambalo kulingana na wadadisi wa kiuchumi linaashiria makali ya sheria za kudhibiti riba sawa na kudorora kwa biashara na uchumi wa taifa kwa jumla.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | THE MARA HEIST | Blatant plundering of Maasai Mara University funds

Avatar
Story By Patrick Igunza
More by this author