Bi harusi atekwa nyara na kuokolewa
Published on: December 16, 2017 08:06 (EAT)
Mwanamke mmoja alitekwa nyara kaunti ya Kiambu siku moja tu kabla ya kufunga harusi huku watekaji nyara hao wakimtishia kuwa hangeiona siku aliyoingoja kwa hamu kuu. hata hivyo walimuacha huru na kutoroka na mali ya thamani kubwa. Na leo ametimiza ndoto ya kufunga ndoa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment