Biashara ya majeneza Mombasa

Kufuatia  mgomo wa madaktari uliathirika pakubwa sekta ya afya humu nchini kwa kuwahanagaisha wagonjwa, wengi walidhani kwamba idadi ya waliopoteza maisha kwa kukosa matibabu ilikuwa juu.

Hata hivyo wafanyiabiashara wa majeneza nje ya hospitali kuu ya mombasa wanakanusha hayo,na kama anavyotuarifu mwanahabari saida swaleh kumalizika kwa mgomo huo kumeimarisha biashara yao ya usafirishaji wa miili na hata ile ya majeneza.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories