Biashara ya nyasi yanoga Kilifi

Mara nyingi nyasi huwa hazina thamani na watu wengi haswa katika maeneo ya mijini wamekuwa wakizikata na kuzichoma baada ya kukosa kazi nazo. Lakini hali ni tofauti kabisa kwa wakaazi wa eneo la Bamba kaunti ya Kilifi, kwani sasa wanalazimika kununua nyasi ili kulisha mifugo yao baada ya kiangazi kukaukasha kila kitu bila kusaza hata nyasi.

Tags:

Kiangazi mifugo kaunti ya Kilifi nyasi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories