Bilionea Bill Gates atarajiwa kuhudhuria Kongamano la AGRF

Sekta ya kilimo inatarajiwa kuangazwa mno wiki hii humu nchini na barani  Afrika kwa jumla. Kongamano la african green revolution, almaarufu kama agrf 2016, limengoa namga  leo hapa jijini Nairobi na litawelata pamoja wadau katika sekta ya kilimo, marais kutoka nchi kadhaa za afrika na vile vile wafanyibiashara mashuhuri.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories