Binti wa mbunge ni “gaidi”?

Mahakama imemuagiza mbunge wa eneo la Mugirango Kaskazini  Charles Mong’are kufika mbele yake hapo Jumatatu ili kuelezea anachokijua kuhusiana na madai ya ugaidi yanayomwandama mwanawe msichana anayefahamika kama Erishna Mong’are. Erishna na mpenziwe kwa jina  Ahmed Lali walikamatwa hapo jana humu jijini na kufikishwa mahakamani  hii leo  waliposhtakiwa na madai ya kuhusika katika kupanga visa vya ugaidi huku ikidaiwa kwamba wawili hao walikuwa na nia ya kutorokea taifa jirani la  Tanzania kabla ya mwisho wa mwezi huu.

Tags:

ugaidi Ahmed Lali Charles Mong’are Erishna Mong’are

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories