Boy Juma boy ameaga baada ya kuugua kwa muda mfupi

Seneta wa kwale Boy Juma Boy amefariki mapema leo. Seneta Boy Juma Boy atakayekumbukwa kwa ucheshi wake kila mara alizungumzia maswala ya kitaifa alifariki katika hospitali ya Aga Khan hapa jijini baada ya kuganda damu kwenye mapafu.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories