Bunge kufanya kikao maalumu mwezi huu


Huenda Wakenya saba waliopendekezwa kuwa makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka iebc wakachunguzwa na bunge wiki hii. Kiongozi wa wengi bungeni aden duale anasema kamati ya bunge kuhusu sheria itapokea majina hayo kutoka kwa spika Justin muturi.  Bunge la kitaifa linatarajiwa kuandaa kikao maalumu tarehe kumi na nane mwezi huu kupitia na kujadili orodha hiyo ya makamishna wapya.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Guns galore

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *