Bunge la Seneti lajadili hatma ya gavana Nderitu Gachagua

Vikao maalumu vya bunge la Seneti kwa ajili ya kujadili hatma ya Gavana wa Nyeri, Nderitu Gachagua vimeendelea kutwa nzima huku leo ikiwa ni zamu ya gavana huyo kujitetea mbele ya maseneta na kama anavyotupasha Salim Swaleh, mwanasiasa huyo huenda akawa na kibarua kigumu kujinasua kwenye kinamasi cha kisiasa kwa sasa.

Tags:

nyeri Nderitu Gachagua

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories