Bunge lachunguza shambulizi la Lamu

Watu wanne wamefariki baada ya gari walimokuwa wakisafiria kulipuliwa na bomu la kutegea ardhini katika barabara ya kulan kuelekea Liboi kaunti ya Garissa.
Wanne hao wanaokisiwa kuwa wafanyikazi wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali walikuwa wanaelekea Liboi kwa ziara ya kikazi.
Haya yanajiri huku waziri wa usalama Joseph Nkaiserry akisisitiza kuwa mikakati ya kutosha imewekwa kulinda eneo zima la mpaka wa Kenya na Somalia.

Tags:

Joseph Nkaissery Police armoured vehicles

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories