Buzeki ashambuliwa kwa mawe mjini Eldoret
Published on: April 29, 2017 09:18 (EAT)
Mwaniaji wa ugavana katikakaunto ya Uasin Gishu Kiprop alivamiwa na gari lake kupigwa kwa mawe na vijana mjini Eldoret. Buzeki anadai kuwa vinaja hao walitumwa kumwangamiza
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment