Bwawa la maji la Karimenu kujengwa mwakani

Wakazi wa Gatundu Kaskazini kaunti ya Kiambu waliohamishwa ili kufanikisha ujenzi wa bwawa la Karimenu awamu ya pili watafiidwa. Waziri wa maji na unyunyiziaji mashamba, Eugene Wamalwa, leo hii amezuru eneo la Kanyoni huko Kiambu na kuahidi kuwa fidia hiyo itatolewa haraka.

Tags:

Gatundu Athi Water Development Authority Kanyoni Karimenu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories