Caroli Omondi anyimwa tikiti ya kiti cha Suba

Chama cha ODM kimetetea uteuzi wa moja kwa moja mbunge wa Suba John Mbadi kuwania kiti hicho licha ya jopo la rufaa la chama hicho kubatilisha mchujo katika eneo hilo. Chama hicho kimelieleza jopo la rufaa la vyama la kisiasa kuwa kanuni za mwaka huu za chama cha ODM zinaruhusu uamuzi kama huo kutolewa na bodi ya uchaguzi ya chama cha odm. Haya ni huku wananiaji huru wakihitajika kukamilisha mahitaji ya kufanya hivyo kufikia Jumatatu.

Tags:

odm John Mbadi suba Caroli omondi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories