Chama cha ANC chamuidhinisha Musalia Mudavadi kugombea urais

Kinara wa ANC Musalia Mudavadi ameidhinishwa kuwa mgombea wa urais na wanachama wakuu wa kitaifa wa chama hicho. Katika hafla iliyoandaliwa katika makao makuu ya chama hicho hapa jijini Nairobi, Mudavadi aidha alitwikwa jukumu la kuendeleza mazungumzo na viongozi wengine wa CORD ili kuwe na muungano maalum almaarufu NASA.

Tags:

Musalia Mudavadi ANC

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories