Chama cha Jubilee chamwaadhibu Alfred Keter na wengine 2
Published on: December 20, 2017 08:09 (EAT)
Chama cha Jubilee kupitia kiranja wake Benjamin Washiali kimewaadhibu wabunge watatu akiwemo mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter kwa kukiuka kanuni za chama bungeni. Kwingineko mahakama imemuamuru mbunge wa gatundu kusini moses kuria kumlipa kinara wa narc kenya martha karua kitita cha shilingi milioni sita kwa kumchafulia jina.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment