Chama cha Jubilee chapeleka kampeni Makueni

Chama cha Jubilee kwa siku ya pili mfululizo kimekita kambi eneo la Ukambani kusaka kura, huku Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wakidai kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka anachezewa shere na kupotoshwa na kiongozi wa chungwa Raila Odinga.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE narok william ruto Samuel Tunoi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories