Chama Cha URP Chawapiga Kalamu Wawakilishi Tisa, Bomet

Chama Cha URP Chawapiga Kalamu Wawakilishi Tisa, Bomet

Chama cha URP kimewapiga kalamu waakilishi maalum tisa wa Kaunti ya Bomet, kwa madai ya kukiuka katiba ya chama.  Kufuatia uamuzi huo, waakilishi hao wamepoteza viti vyao. Hata hivyo gavana wa Bomet Isaac Ruto amekashifu ufurushaji huo wa MCAs na kudai yeye ndiye anayelengwa, kutokana na misimamo anayochukua dhidi ya uongozi wa naibu wa rais William Ruto. Francis Gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories