Chama kipya kuleta pamoja makundi mbalimbali

Chama kipya cha Jubilee kinalenga kuyaleta pamoja makundi mbalimbali ambayo ndio nguzo muhimu ya kupigia upatu chama hicho na kutoa ushuhuda kuwa ahadi walizotoa Rais na naibu wake katika uchaguzi uliopita zimetimia. Makundi hayo ambayo yanahusisha vijana, akina mama, wafugaji, jamii zilizotengwa, walemavu na wengineo yalitumiw akatika mkutano wa kwanza wa chama cha Jubilee kusisitiza ari ya Jubilee kukuza uchumi kwa kuimaimarisha maisha ya watu binafsi ambao awali hawakuwa na nafasi kama hiyo.

Tags:

Jubilee Party Kasarani pomp and colour

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories