Changamoto za matibabu na afya Pokot Magharibi

Ukosefu wa ufahama kuhusu matibabu ya mapema katika kaunti ya Pokot Magharibi imekuwa changa moto katika jihudi za kukabili magonjwa katika eneo hilo. Utafiti umebaini kuwa wakazi wengi wa eneo hilo wanafariki kwa sababu kila wanapokuwa wagonjwa huchelewa kufika kwenye vituo vya afya. Mwanahabari wetu Collins Shitiabayi na kina cha taarifa hiyo.

Tags:

West Pokot Pokot Magharibi Matibabu Afya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories