Chatu ahepa makao yake katika makavazi


Wakaaji wa Meru mjini walijawa na hofu baada ya nyoka aina ya chatu kutoroka kutoka makao yake katika makavazi ya Meru na kujificha ndani ya kibanda cha mmoja wao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Citizen Team
More by this author