Chebukati aitaka Mahakama ya Juu kutafsiri wajibu wake


Mwenyekti wa tume ya IEBC wafula Chebukati ameitaka mahakama ya juu kueleza wazi jukumu lake katika kusimamia uchaguzi wa urais na ikiwa anaweza kubadilisha matokeo kutoka maeneo bunge iwapo atapata yana makosa. Chebukati amewasilisha kesi hiyo mahakamani huku tume hiyo ikiwasimamisha kazi maafisa watano wa maeneo bunge katika hatua za kinidhamu dhidi ya wasimamizi wanaodhaniwa kuhujumu uchaguzi wa Agosti.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author