Chege Fresh apatikana

Mwaniaji wa kiti cha eneo bunge la kabete charles chege gitau aliyetoweka ijumaa amepatikana hii leo katika kaunti ya narok. Chege aliyepatikana na dereva wa teksi akiwa amepoteza fahamu kando ya barabara anadaiwa kutekwa nyara na watu wasiojulikana ijumaa jioni. Mwanahabari wetu gatete njoroge na taarifa kamili.

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories