CHOZI LA MJANE: Mwanamke afurushwa nje ya nyumba yake na familia ya marehemu mumewe

Je, Ni utamaduni ama ni ulafi ambao sasa umefanya wajane wengi katika kaunti ya kwale kudhulumiwa na mashemeji zao hatimaye kupoteza makao na  mali za mabwana zao? Na  kama anavyotueleza mwanahabari wetu wa kwale Nicky Gitonga katika makala maalumu “CHOZI LA MJANE” bado mwanamke haruhisiwi kurithi mali katika baadhi ya jamii  za mwambao wa pwani.

Tags:

KWALE Ramla azam

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories