Chunguchungu wawakosesha usingizi wakazi wa Makueni
Published on: September 28, 2016 11:36 (EAT)
Kijiji kimoja kaunti ya Makueni kimevamiwa na wadudu kwa jina chungu. Sasa wanalazimika kuweka pamba kwenye masikio yao wakati wa kulala. Huu ni mwaka wa 15 tangu waanze kuvamiwa na wadudu hao ambao baadhi yao wanaamini kuwa si jambo la kawaida.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment