Chuo cha Nairobi chafungwa ghafla kwa muda usiojulikana


Chuo kikuu cha Nairobi kitasalia kufungwa kwa muda usiojulikana kutokana na sababu za kiusalama.
Hatua ya kufungwa kwa chuo hicho imechukuliwa kufuatia ghasia zilizozuka usiku wa kuamkia leo. Wanafunzi wameghadhabishwa na hatua hiyo na kumtaka naibu chansela Prof. Mbithi kujiuzulu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Hassan Mugambi
More by this author