Chuo kikuu cha Dedan Kimathi kina mbuga ya wanyama

Ni hifadhi ya wanyama ya aina yake kwani inamilikiwa na kutunzwa na chuo kikuu. Na ni nyumbani kwa ndege aina 200, mimea aina 300 na wanyama pori aina nane. Mwandishi wetu Martin Munene alizuru hifadhi hiyo ya chuo kikuu cha Dedan Kimathi katika county ya Nyeri na anatujuza zaidi.

Tags:

nyeri Dedan Kimathi University animal park mbuga ya Wanyama

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories