Citizen TV yatwaa tuzo la Runinga bora duniani


Runinga ya Citizen imetunukiwa tuzo ya kuwa runinga bora na yenye mvuto zaidi kwa watazamaji wake duniani. Runinga ya Citizen ilitunukiwa tuzo hilo ikiwa ni miongoni mwa mashirika 245 bora duniani yenye kuvutia wateja wao katika hafla iliyofanyika jijini London, Uingereza.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Gatete Njoroge
More by this author