CORD: Matayarisho ya uchaguzi yasitishwe


Muungano wa upinzani-cord sasa unashinikiza kusitishwa kwa maandalizi yote ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, hadi makamishna wapya wa tume ya uchaguzi nchini iebc wateuliwe.
Cord inadai makamishna wanaoondoka, wakishirikiana na maafisa wakuu wa tume hiyo â wamefanya njama na chama cha jubilee kuhujumu mitambo na taratibu za uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, ili kushawishi matokeo, haswa ya urais. Lakini kama anavyoarifu Francis Gachuri, iebc inasisitiza kwamba madai ya cord ni uvumi mtupu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Guns galore

Avatar
Story By Francis Gachuri
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *