CORD na Jubilee zapigania uongozi wa jiji Nairobi

Kinara wa cord raila odinga amezindua kampeni ya kuhakikisha kuwa chama chake kimeibuka mshindi katika viti vya ubunge zaidi ya kumi na tatu hapa Nairobi. Odinga ambaye leo alikutana na wagombea wa viti mbalimbali katika chama cha ODM aidha aliwahakikishia wote kuwa mchujo utakuwa wa huru na haki. Raila aliandamana na gavana wa Nairobi Evans Kidero, mwenyekiti wa odm tawi la Nairobi George allodia na mbunge wa Langata Joash Olum. Steven letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories