CORD wakataa marekebisho ya sheria ya uchaguzi

Kizaazaa kilishheni katika makao ya bunge mapema leo wakati wabunge kutoka mrengo wa cord walizua fujo wakipinga kuandaliwa kwa hoja ya kufanyia mabadiliko sheria za uchaguzi.

Wabunge hao walisababisha kikao hicho kuchelewa kwa muda wa saa tatu, kilio chao kikiwa kuwa wabunge wa Jubilee walinuia kuhitilafiana na mfumo wa uchaguzi ili kuwezesha wizi wa kura.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories