CORD wapinga ukaguzi wa sajili ya wapiga kura

Tume ya uchaguzi nchini IEBC tayari imeipa kandarasi ya kusafisha regista ya wapiga kura kwa kampuni ya KPMG. Kampuni hiyo inatakiwa kuhakikisha kuwa wapiga kura waliofarika wameondolewa kwenye orodha ya wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Na kama anavyotuarifi mwanahabari wetu Stephen Letoo, tayari viongozi wa upinzani wametaka kandarasi hiyo ifutiliwe mbali wakidai kuwa KPMG haina tajriba ya kufanikisha shughuli hiyo.

Tags:

CORD IEBC KPMG sajili ya wapiga kura

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories