Daktari anayetoa huduma za tohara mashakani

Familia moja katika mtaa wa Mathare hapa jijini Nairobi inasikitikia kisa ambapo mtoto wao, mvulana wa miaka minane aliyepashwa tohara aliachwa na majeraha  mabaya. Citizen Nipashe imebaini kwamba daktari aliyetekeleza tohara hiyo hakuifanya kwa njia inayofaa na hivyo kumuacha kijana huyo na majeraha mabaya.

Tags:

Mathare female genital mutilation Nderitu njoka Boy child rights Tohara

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories