Daktari Bandia.

Mwanaume mwenye umri wa miaka 28 ametiwa mbaroni kwa kujifanya daktari. Ronald  Melly amekuwa akihudumu katika hospitali ya metetei huko nandi jambo ambalo limewatia kiwewe wenyeji,huku bodi ya madaktariâ  humu nchini ikikri kwamba tayari imewakamata takriban madaktari sita bandia.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories