David Maraga aapishwa kuwa jaji mkuu

Jaji David Kenani Maraga ameapishwa rasmi kama jaji mkuu na Rais Uhuru Kenyatta. Maraga anachukua wadhifa huo wakati ambapo idara ya mahakqma inagumbikwa na tuhuma za ufisadi pamoja na malimbikizi ya kesi. Rais pia alikashifu uongozi wa mtangulizi wake Willy Mutunga akidai kwamba uongozi wake ulikuwa sawa na kuwa mwanaharakati.

Tags:

David kenani maraga jaji mkuu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories