Dkt. SK Macharia: Kenya ina uwezo wa kuendesha kura kielektroniki

Mjadala kuhusu endapo taifa linafaa kubuni mfumo usio wa kielektroniki kuandaa uchaguzi mkuu ujao unazidi kuchacha huku wadau mbalimbai wakitoa kauli zao katika bunge la seneti ambapo wengi wanaonekana kupinga mfumo usio wa kielektroniki. Mwenyekiti wa kampuni ya royal media services s.k. macharia ametahadharisha kamati ya pamoja ya seneti kuwa endapo mfumo wa aina hiyo utakubaliwa huenda ukaleta mtafaruku katika kuhakikisha usawa katika uchaguzi wa agosti mwaka huu.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories