EACC yafanya msako mkali kwa gavana wa zamani

Hali ya mshike mshike ilitanda nyumbani kwa aliyekuwa gavana wa Tharaka Nithi Samuel Ragwa baada ya maafisa wa tume ya kupigana na ufisadi ya EACC kufumania majumba mawili kwa tuhuma za ufisadi.

Tags:

EACC Tharaka Nithi Samuel Ragwa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories