Eddy Fondo afariki


Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa KBC Eddy Fondo ameaga dunia hii leo. Fondo aliyekuwa akijiita mdj Eddy Fondo kwenye vipindi vya salaam na muziki kwenye statesheni ya vok wakati huo, alikuwa akipendwa sana kwa utangazaji wake wa machachari.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Former sports CS Hassan Wario convicted over Rio games scam

Citizen Reporter
Story By Citizen Reporter
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *