Elimu ni Bahari Kwa Ajuza wa Miaka 90

Elimu ni bahari wala haina mjuzi na ndio maama ajuza mmoja mwenye umri wa miaka 90 katika Kaunti ya Nandi ameamua kurejea shuleni kujaribu kukata kiu chake licha ya umri huo mkubwa. Huenda Priscilla Sitienei ndiye mwanafunzi mzee zaidi shuleni akiwa katika darasa la nne katika shule ya msingi ya Leaders Vision Academy. Anasema amerudi shuleni ili kufahamu kusoma biblia.
Sam Gituku na taarifa hiyo..

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories