Esther Pasaris apata tiketi ya ODM Nairobi

Mwanasiasa Esther Pasaris hii leo alitangazwa kuwa mshindi wa tiketi ya chama cha Odm kuwania kiti cha uwakilishi wa akina mama katika kaunti ya nairobi. Pasaris alijinyakulia kura 65,104 na kumbwaga mpinzani wake wa karibu Beatrice Kwamboka aliyepata kura 11,286. Kwingineko mwenyekiti wa Odm tawi la nairobi george aladwa ndiye alikuwa mshindi wa tiketi ya chungwa kuwania kiti cha ubenge Makadara. Stephen Letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories