Familia 3 zaokolewa kutoka kwa vifusi vya jumba lililoporomoka

Hatma ya watu watano ingali kujulikana katika eneo la pipeline pembezoni mwa jiji la Nairobi baada ya jumba la ghorofa saba walimokuwa wakiishi kuporomoka usiku wa kuamkia leo.
Zaidi ya wakazi 128 waliokolewa na maafisa wa polisi wakishirikiana na wale wa kaunti ya Nairobi hapo jana baada ya jumba hilo kuonyesha dalili za kuporomoka.
Na kama anavyoarifu Hassan Mugambi gavana wa Nairobi Evans Kidero amelaumu idara ya mahakama kuwakinga wawekezaji wa kibinafsi kila baraza lake linaponuia kubomoa majumba yasiyoafiki masharti ya ujenzi.

Tags:

Nairobi pipeline Kwarebuildingcollapse

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories