Familia moja kutoka Kirinyaga yafurushwa makao

Familia moja kutoka eneo la Difathas kaunti ya Kirinyaga inalilia haki baada yao kufurushwa kutoka kwenye makao yao na genge la watu wasiopungua 10 na huko Kisumu polisi wameanzisha uchunguzi kufuatia kuchomwa moto kwa nyumba ya mbunge wa Nyakach, Aduma Oduor.

Tags:

Kirinyaga Nyakach Difathas Aduma Oduor

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories